Mahakama Kuu ilipunguza kifungo cha gerezini cha Jessica Mulfford hadi miaka minne kufuatia rufaa kuhusu mauaji ya Harlee-Rose Niven.